Copy
View this email in your browser

Kituo cha Rasilimali na Usaidizi cha Kulinda Usalama Sasa Kinapatikana kwa Lugha ya Kiswahili! 

Tunayo furaha kutangaza kwamba tovuti ya Kituo cha Rasilimali na Usaidizi Sasa Inapatikana kwa Lugha ya Kiswahili  - tutembelee kupitia hapa:
https://safeguardingsupporthub.org/sw/
-- To read the newsletter in English, please scroll down. --
 
Kuhusu Kituo cha Rasilimali na Usaidizi
Sisi ni programu inayofadhiliwa na UK Aid inayolenga kusaidia mashirika yaliyo katika sekta ya msaada ili kuimarisha sera zao za kulinda usalama na utendaji dhidi ya unyonyaji wa kijinsia,dhuluma na unyanyasaji wa kijinsia (SEAH).

Kwenye tovuti, utaona taarifa, rasilimali na mafunzo ya kukusaidia kuanza au kuboresha namna mnavyofanya kazi. Shirika lolote lile linaweza kupata raslimali, lakini tunatoa kipaumbele kea asasi zilizo ndogo.
Jisajili kupata jarida

Kulinda usalama dhidi ya Unyonyaji wa kijinsia, Dhuluma na Unyanyasaji wa Kijinsia.

Kulinda Usalama ni kuwakinga watoto na watu wazima, wakiwemo watumishi ndani ya shirika husika, ambao wanaweza kuathiriwa na uendeshaji wa shughuli zetu au watumishi wa shirika.

Unakaribishwa kwenye "Utangulizi kuhusu kulinda Usalama" utakaofanyika njia ya kimtandao ili uweze kupata taarifa zaidi. Mafunzo yatatoa utangulizi na mapitio kwa ujumla kuhusu kulinda usalama. Pia yatatoa namna ya kufikia na kutengeza mpango wa kulinda usalama na ni nini kinahitajika kwa ajili ya kulinda usalama na utafanya nini ikiwa kuna tatizo?

Tarehe: Jumanne 26 Oktoba.
Muda: 8-9 mchana.
Watoa mada: Martin Juma, Edna Kamaleki, Michael Reuben

Kusoma wasifu wa watoa mada na kupata maelezo, bonyeza hapa.

Jisajili kwa wavuti

Mafunzo ya Kimtandao kwenye Kituo cha Rasilimali na Usaidizi: Masuala ya Kulinda Usalama. Tunaandaa mfululizo wa moduli 5 za mafunzo zitakazotolewa bila malipo ili kukusaidia kuelewa na kufanya namna yako ya kulinda usalama iwe bora zaidi. Moduli ya 1 na ya 2 salsa zinapatikana kea lugha ya Kiswahili.

Moduli 1: Kuanza: Moduli hii itakusaidia kuelewa dhana zinazohusu kulinda usalama na wajibu na majukumu ndani ya shirika.

Moduli 2: Kuanza na washirika: Moduli hii itakusaidia kuelewa umuhimu wa ukaguzi na mtazamo chanya wa utamaduni wa shirika.

Jiandikishe hapa kusoma kozi na upate cheti katika kulinda Usalama!

Safari ya kulinda usalama: Utangulizi kuhusu Kulinda Usalama (RSH, 2021). Mada hii itagusa maeneo makuu, ikiwemo utangulizi kuhusu kulinda usalama,nini kinahitajika kulinda usalama na jinsi ya kufanya tatizo likitokea.
Kutengeneza Programu salama za mashirika ya kijamii (RSH, 2021). Kielezo cha taarifa hii kuhusu kutengeneza programu salama kinahusu namna ya kujumuisha kulinda usalama katika hatua zote za mzunguko wa programu.
Zana ya Tathmini ya Uwezo wa Shirika (RSH, 2020). Fanya tathmini ya wapi ulipo juu ya kulinda usalama na chunguza nini zaidi Unaweza kufanya shirika lako liwe salama.
Angalia rasilimali zaidi, zana na mafunzo ya kulinda usalama katika maktaba yetu ya rasilimali.

Pakua app: Tembelea tovuti yetu na upakue rasilimali na kuweka kwenye kifaa chako. Unaweza ukaziona kea mtandao au hata nje ya mtandao-Chagua tu lugha ya Kiswahili.

Wasiliana nasi.

Usisahau kujisajili kwenye jarida letu ili uwe wa kwanza kuona jambo gani jipya kwenye Kituo cha Kiswahili.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii. Tunapatikana Twitter, Facebook, LinkedIn na sambaza taarifa hizi kwenye mitandao yako kuhusu uzinduzi huu.

The Safeguarding Resource and Support Hub is now available in Swahili! 

We are delighted to announce that the Safeguarding Resource and Support Hub (RSH) website is now available in Swahili - find us at https://safeguardingsupporthub.org/sw/ 

About the Resource and Support Hub 

We are a programme funded by UK Aid with the aim of supporting both humanitarian and development organisations to strengthen their safeguarding policy and practice against Sexual Exploitation, Abuse and Sexual Harassment (SEAH).

On the website, you will find information, resources and training to help you start or improve your safeguarding approach. Sign up to our Swahili newsletter for the latest news and events.

Sign up for the newsletter

Safeguarding against Sexual Exploitation, Abuse and Sexual Harassment

Safeguarding is the way organisations protect children and adults, including staff within the organisation, from being negatively affected by the operations or staff of the organisation.

You are invited to our Introduction to safeguarding webinar where you can find out more. This webinar will provide an introduction and general overview of safeguarding, how to assess and plan for safeguarding, what is needed for safeguarding, and what to do if problems arise.

Date: Monday 25 October 2021
Time: 11 - 12pm (GMT+3)
Chair and panellists: Martin Juma, Edna Kamaleki, Michael Reuben

To read the panellists' bios and find more details, click here.

Register for the webinar!

RSH e-learning course: Safeguarding Matters. We are developing a series of 5 free online training modules that will help you understand and improve your approach to safeguarding. Modules 1 and 2 are now available in Swahili!

Module 1: Getting Started: This module will help you define safeguarding terms and understand the roles and responsibilities within an organisation.

Module 2: Getting Started with Partners: This module will help you understand the importance of due diligence and the need for a positive organisational culture.

Register to take the course here and earn a certificate in safeguarding!

The Safeguarding Journey: An introduction to safeguarding (RSH, 2021). This presentation covers the key areas, including what is safeguarding, what is needed for safeguarding and what to do if there is a problem.
Safe programming for CSOs (RSH, 2021). This infographic details what safe programming is and how to integrate safeguarding throughout the programme cycle.
Organisational Capacity Assessment tool (RSH, 2020). Do an assessment of where you are on safeguarding and explore what more you could be doing to make your organisation safe.
Find lots more resources, tools and training on safeguarding in our Resource Library.

Download our mobile app. Browse our website and download resources to your mobile. You can view this online and offline - just select the Swahili language option.

Keep in touch!

Don't forget to subscribe to our newsletter to be the first to find out what's new on the Swahili Hub. 

You can also follow us on social media. Find us on Twitter, Facebook and LinkedIn and share news about this launch in your networks!
Twitter
Twitter
Facebook
Facebook
Youtube
Youtube
LinkedIn
LinkedIn
Copyright © 2021 Safeguarding Resource and Support Hub, All rights reserved.


Want to change how you receive these emails?
You can update your preferences or unsubscribe from this list.

Email Marketing Powered by Mailchimp